Kocha mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi kwenye mkutano na waandishi wa habari kuelekea Derby ya Kariakoo
Kombora la Israel limeipiga Iran, huku milipuko ikisikika katikati mwa nchi.
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika Wilaya ya Monduli kunusuru bwawa la Nanja ambalo ni tegemeo la vijiji 30 katika chanzo maji pekee.