Ukweli ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.
Mathalani kuna mtu kila bishara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.
Au kuna familia unakuta mabinti wanazalia nyumbani tu bila kuolewa, ukichunguza unakuja kugundua hata mama yao naye alizalia nyumbani na hapo watoto wanapoishi ni kwa Babu na Bibi yao.
Hiyo ndio mikosi yenyewe, kipindi ambacho jamii zetu zinaheshimu mila na tamaduni kabla ya kuathiriwa na utamaduni za magharibi zilizoletwa na utandawazi, jambo kama hilo likitokea lazima…Soma zaidi hapa.