Jina langu ni Mama Omary wa Mombasa, miaka kama mitatu iliyopita nilipitia changamoto kubwa sana kifamilia, hii ni baada ya mtoto wangu mmoja kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Ilikuwa ni jioni ya kawaida akiwa anacheza eneo la karibu ya nyumba yetu pamoja na watoto wa majirani zangu, huu ulikuwa ni utamaduni wao wa siku zote kukutanika katika eneo hilo na kucheza.
Hata hivyo, ilipofikia muda wa kurudi nyumbani sikuweza kumuona, ndipo nikajaribu kupaza sauti na kuita lakini hakuweza kuitika, nilianza kupita nyumba za majirani kuuliza kama yupo huko lakini sikumona.
Watoto waliokuwa wanacheza naye, tulipowauliza walisema kuwa tulipomaliza kusema walimuona akirejea nyumbani kama ilivyo kawaida, daima siwezi kusahau siku hiyo jinsi ambavyo. Soma zaidi hapa