Latest Posts

MAFUNZO YA UONGOZI NA USIMAMIZI FANISI WA SHULE

Walimu wakuu kutoka Mkoa wa Iringa na Tabora wakiwa katika mafunzo ya Uongozi na Usimamizi fanisi wa Shule yaliyoendeshwa na ADEM katika vituo mbalimbali vya Halmashauri za Wilaya ndani ya Mikoa hiyo.

Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo walimu wakuu katika nyanja za uongozi, usimamizi na uendeshaji fanisi wa shule pia utawala bora katika mamlaka za Serikali za Mitaa na yamefanyika kuanzia tarehe 5-9 Oktoba, 2024.

Hii ni awamu ya tatu ya mafunzo hayo ambayo yatafanyika katika mikoa 13 ya Tanzania Bara ikihusisha jumla ya Walimu Wakuu 8,551 ambapo awali yamefanyika katika Mikoa 13 iliyohusisha Walimu Wakuu 9,132 yakiendeshwa na ADEM chini ya mradi wa BOOST DLI 8.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!