Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimkabidhi Mkuu wa JKT na Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMJKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, tuzo ya ushindi wa kwanza wa FURNITURE & INTERIOR DECORATION EXHIBITOR (SAMANI NA MAPAMBO YA NDANI) waliyoipata Jeshi la Kujenga Taifa, katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba kwa mwaka 2025.