Latest Posts

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MAHAMA WA GHANA

Viongozi mbalimbali wakiagana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 02, 2026 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro(KIA).

Akiwa Jijini Arusha Rais Samia alikutana na Rais wa Ghana George Dramani Mahama na kufanya nae mazungumzo katika Ikulu ya Arusha.

Pamoja na hayo Rais Samia alipata nafasi ya kufuturu na Makundi mbalimbali zoezi ambalo lilifanyika Ikulu ya Arusha

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!