Latest Posts

WAKAZI WA TANGINI, KIBAHA WAKUMBUSHWA UAMINIFU, UMUHIMU WA KUREJESHA MIKOPO YA 10%

Wajasiriamali wa Manispaa ya Kibaha walionufaika na mikopo ya asilimia 10 isiyokuwa na riba wametakiwa kuwa waaminifu na kurejesha fedha hizo kwa wakati ili kutoa fursa kwa vikundi vingine vinavyohitaji mikopo hiyo kuweza kunufaika.
‎Wito huo umetolewa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk. Nicas Mawazo,  leo Novemba 12,2026 alipokutana na vikundi mbalimbali vya wajasiriamali kutoka Kata ya Tangini vilivyonufaika na mikopo hiyo.
‎
‎Dk. Nicas amesema baadhi ya vikundi kushindwa kurejesha mikopo kwa wakati kunasababisha vikundi vingine kukosa fursa ya kupata fedha hizo, ambazo zimetolewa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuwawezesha wanawake, vijana na makundi maalumu kuinua hali zao za kiuchumi.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!