Latest Posts

HATIMAYE KIDATO ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE HANDENI

Mwanadiplomasia na Meneja wa Kanda ya Kati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mussa Kidato amechukua fomu kuwania Jimbo la Handeni, pichani akikabidhiwa fomu ya ubunge na Katibu wa CCM Wilaya ya Handeni Bi Mayasa Kimbau

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!