Suala la utapeli limekithiri kwenye ulimwengu wa sasa, siku haiwezi kupita bila mtu moja au wawili kulia kutokana na ulaghai wa pesa ama kitu kingine cha thamani.
Mtu anapolaghaiwa huaachwa akiwa amesononeka ajabu na hata wakati mwingine anaweza kukumbwa na mzongo wa mawazo ama hata mshtuko wa. Soma zaidi hapa