Latest Posts

Mke amfumania mumewe kwenye madanguru!

Kwa kawaida mwanamke akiwa mjamuzito hutaka kuonyeshwa upendo wa hali ya juu kwani wakati huo hupitia changamoto nyingi kutokana na mabadiliko katika mwili wake yanayoletwa na kiumbe kilichopo tumboni.

Hii ilikuwa tofauti kabisa kwa mume wangu, nilipokuwa na ujauzito wa miezi sita mambo yalibadilika sana kutokana na mimi kushindwa kumpatia haki yake ya ndoa kutokana na hali yangu, sikupenda iwe hivyo ila ni jambo lilokuwa nje ya uwezo wangu.

Basi alitumia fursa hiyo na kuanza kulala nje kila mara, alinieleza bila kunificha kwamba alifanya vile kwa sababu alikuwa na tamaa ya kukutana na mwanamke kimwili na mimi sikuwa. Soma zaidi hapa.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!