Latest Posts

MSISIKILIZE MATAPELI WA KISIASA, MCHAGUENI DKT. NETTHO NDILITO-CHATANDA 

 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC),  tarehe 20 Oktoba 2026, amewaasa wananchi wa Kijiji cha Itiso, Kata ya Itiso, Jimbo la Chamwino, kutosikiliza matapeli wa kisiasa wanaoweza kuwapotosha, badala yake kuendelea kuzingatia maslahi ya maendeleo ya taifa kwa kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM).

Chatanda ametoa rai hiyo wakati wa mkutano wa ndani uliofanyika katika Kijiji cha Itiso , akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na makundi mbalimbali, huku akiwahimiza kudumisha umoja na mshikamano na kushiriki katika uchaguzi wa tarehe 4 Novemba 2026 kwa kuichagua CCM na kumpigia kura Dkt. Nettho Ndijina Ndilito ili kupata ridhaa ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Chamwino.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!