Latest Posts

TEF YATOA TAMKO, KUFUNGIWA KWA MAJUKWAA YA KIDIJITALI YA MWANANCHI

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kushtushwa na taarifa za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kwa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (The Citizen, Mwananchi Digital, Mwananchi na MwanaSpoti) kutoa huduma za maudhui mtandaoni nchini.

Isome hapa taari yote kutoka TEF

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!