Latest Posts

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

Akiwa katika Banda la Bunge, aliipongeza Ofisi ya Bunge kwa kushiriki maonyesho hayo na jinsi ambavyo Bunge linatunza kumbukumbu zake baada ya kushuhudia nyaraka mbalimbali za kihistoria zinazohusu Bunge na Wabunge.

Mheshimiwa Waziri Mkuu leo atayafunga maonyesho hayo yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!