Latest Posts

NAMNA UNAVYOWEZA KUTOA MAONI YA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji  inaendelea na zoezi la kukusanya maoni kwa lengo la kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)

Wafanyabiashara, wawekezaji na wadau wa maendeleo mnakaribishwa kutoa maoni yatakayowezesha kuandaa MKUMBI II unaoakisi hali halisi.

 

Ili kutoa maoni yako tafadhali bofya link katika Bio yetu ambayo itakupeleka katika dodoso

 

au tuma email kupitia : maoni.mkumbi@planninginvestment.go.tz

 

Au Bofya hapa kujaza Dodoso

mkumbi2maoni.planninginvestment.go.tz/questionnaire/…

 

Au Scan QR katika bango hapo juu

 

Maoni yako ni muhimu katika kuandaa Mpango wa Pili wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)

 

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!