Latest Posts

SAGAYIKA ATUNUKIWA TUZO YA UONGOZI NA MCHANGO KWA JAMII

Diwani wa Kata ya Kalangalala, Manispaa ya Geita, Reuben Sagayika ametunukiwa tuzo ya Leadership and Community Impact katika hafla ya Tuzo za MDA Ushupavu iliyofanyika mkoani Geita.

Tuzo hiyo ni kutambua na kuthamini mchango wake katika kuleta maendeleo ya jamii, kuimarisha ustawi wa wananchi na kuonesha uongozi wenye matokeo chanya kwa wakazi wa Kata ya Kalangalala.

Tuzo hii ni sehemu ya jitihada za kutambua viongozi, taasisi na wadau mbalimbali wanaojitolea kuleta mabadiliko chanya, kugusa maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo katika jamii.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!