Kwa kipindi cha miezi sita mfululizo, nilianza kuota ndoto za ajabu sana kila usiku, bila kukosa, nilijikuta nikiwa ndani ya maji nikizama. Wakati mwingine ni bahari kubwa yenye mawimbi, wakati mwingine ni mto mweusi unaovuta kila kitu.
Nilikuwa najikuta nikipambana kuokoa maisha yangu ndani ya ndoto hizo, lakini kila mara nikiwa dhaifu na nikiamka nikiwa na hofu, jasho jingi na mapigo ya moyo kwenda mbio. Ndoto hizo zilikuwa zinajirudia mara kwa mara hadi zikaanza kunichosha kiakili na kimwili.
Nilipojaribu kuwaambia watu wa karibu, wengine walicheka, wakisema ni mawazo yangu mwenyewe au labda ni. Soma zaidi hapa