Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Iringa Nancy Nyalusi akiendesha zoezi la usajili wa wanawake katika kata ya Mahuninga wilaya ya Iringa vijijini ikiwa ni mweendelezo wa ziara yake ya kikazi ya siku 4 katika wilaya ya Iringa vijijini huku akiwaamasisha wanawake kujiunga na jumuiya hiyo na kuhamasisha kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu.
” Ninawaomba wanawake wenzangu mwende mkagombee wakati ni sasa na tupo nyuma yenu katika kuhakikisha wanawake wanagombea kwa wengi katika ngazi za uongozi “