Latest Posts

“PAMBANENI NA MATUKIO YA KIKATILI “NABII SUGUYE

Baadhi ya taasisi za kidini zimewataka wananchi na wadau mbalimbali kuweka kipaumbele katika kuhakikisha zinapambana na kukabiliana na ukatili wa kijinsia ambao umekuwa ukifanywa kwa watoto pamoja na watu wazima hasa wanawake

Hayo yamesemwa na Nabii Nicolaus Suguye alipokuwa akitembelea vituo vya kulelea watoto yatima vilivyopo mkoani Morogoro ambapo ametembelea vituo mbalimbali kama Raya Islamic foundation chenye jumla ya watoto 90 na kituo cha Dar_Ulmuslimeen orphanage chenye jumla ya watoto 67na kutoa misaada mbalimbali ya mahitaji kwa watoto wanaoishi katika vituo hivyo

Suguye ameongeza kwa kusema kuwa baadhi ya watanzania wamekuwa wakiiba watoto na kuwafanyia vitendo vya kiukatili kama vile kuwa ondoa baadhi ya viungo vya mwili na kuwauwa hali inayopelekea familia nyingi nchini kuwa katika hali ya hofu juu ya watoto hivyo ni wakati sasa wa kukemea matukio hayo

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!