Latest Posts

MWILI WA MWANAMKE MMOJA WAPATIKANA KWENYE JENGO LILILOPOROMOKA KENYA HUKU 16 WAKISAKWA.

Wakati vilio na simanzi vikitawala katika baadhi ya maeneo nchini Kenya pamoja na hali ya sintofahamu kwa kwa baadhi ya watu  haswa wale walio guswa na janga la kupolomoka kwa jingo la gorofa wiki iliyo pita.

Oktoba 30,2026 nchini humo mwili wa mwanamke mmoja umepatikana akiwa amefariki dunia kutoka kwenye mabaki ya jengo la ghorofa hilo lililoporomoka jijini Nairobi, huku watu wengine 16 wakiwa bado hawajulikani waliko.

Taarifa hiyo linajiri kufuatia taarifa iliyo tolewa leo Oktoba 30 2026 Kamishna wa Kaunti Ndogo ya Nairobi Kaskazini, Simon Osumba, huku akithibitisha kuwa mwili huo wa mwanamke ulipatikana majira ya saa kumi na mbili asubuhi.

Ikiwa ni siku ya nane leo tangu tokeo hilo lilipo tokea na zoezi la uokoaji likiendele katika jengo hilo lenye ghorofa kati ya 12 hadi 18 lilipopolomoka mnamo Oktoba 23, 2026.

Aidha taarifa zinaeleza kuwa Mabaki hayo yaligunduliwa yakiwa yameharibika vibaya baada ya kufukiwa

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!