Latest Posts

MWANDISHI WA AZAM AIBUKIA FAM

Mwandishi Mwandamizi wa Azam Media Ltd Mkoa wa Mara Augustine Mgendi ameshinda ujumbe wa Mkutano Mkuu TFF kutoka Mkoa wa Mara

Mgendi ameshinda nafasi hiyo kwa kupata Kura 5 Kati ya 9  huku moja ikiharibika na hivyo Kula halali kuwa Kura tisa

Katika uchaguzi huo wa Chama cha Soka Mkoa wa Mara FAM uliofanyika Leo March 1,2025 katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa ambapo Mussa Nyamandege aliyekuwa mgombea pekee katika nafasi ya uenyekiti amethibitishwa kuwa Mwenyekiti na wajumbe wa Mkutano huo.

Aidha baada ya uchaguzi huo Mwenyekiti mteule wa FAM amemchagua Haroub Salum kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho.

Katika nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu TFF waliokuwa wakigombea nafasi hiyo ni pamoja na Augustine Mgendi, Revocatus kuboja aliyepata Kura 4 na Mecksedek Mtobesha akipata kura sifuri

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!