Latest Posts

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameitaka kampuni ya magari ya Changan Auto kufungua karakana yake ndani ya nchi kwa ajili ya kuchakata (assemble) magari.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ameitaka kampuni ya magari ya Changan Auto kufungua karakana yake ndani ya nchi kwa ajili ya kuchakata (assemble) magari hayo nchini ili kuwafanya watu wengine kupata ajira Chalamila ametoa rai hiyo Alhamisi Aprili 18, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizindua kampuni hiyo kutoka China ambapo mbali na kufungua karakana yake Tanzania, ameiomba kulichangia Jeshi la polisi Tanzania kwa kuwapa magari yao ili wayatumie na endapo yatakuwa na ufanisi katika utendaji wao wa kazi basi watayanunua moja kwa moja.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!