Latest Posts

BETPAWA YAISHIKA MKONO MICHUANO YA MPIRA WA KIKAPU

Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BetPawa imeendelea kuunga mkono maendeleo ya mchezo wa mpira wa kikapu nchini kupitia programu yake ya Locker Room Bonus, inayolenga kuwapa motisha na hamasa vijana wanaoshiriki mchezo huo.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo, mwakilishi wa kampuni hiyo, Rose Kishimba, amesema kuwa BetPawa imeamua kushiriki katika kudhamini mashindano hayo ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza mchezo wa mpira wa kikapu na kuwapa vijana fursa ya kuonesha vipaji vyao.

Aidha, amesema kuwa BetPawa ilianza kudhamini mchezo huo mwaka jana kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania, kupitia programu hiyo ambayo imekuwa na manufaa kwa vijana wengi wanaoshiriki mchezo huo.

Latest Posts

Don't Miss

Stay in touch

To be updated with all the latest news, offers and special announcements.

error: Content is protected !!